PAPII KOCHA - WAAMBIE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Akiwa amesota kwa miaka 14 jela Papii kocha toka familia ya Viking “Babu Seya” sisi tulibaki muda wote ya burudani ya wimbo “Seya” uliodumu siku zote. Sasa baada ya kuliona jua tena uraiani Papii kocha ametuletea ngoma yake ya kwanza kabisa yenye stori ya kusisimua inaitwa “Waambie”. Video imetengenezwa na Wanene entertainment.
Tumekuwekea hapa itazame kisha weka maoni yako
PAPII KOCHA - WAAMBIE (OFFICIAL MUSIC VIDEO) PAPII KOCHA - WAAMBIE (OFFICIAL MUSIC VIDEO) Reviewed by loy on February 16, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.