Akiwa bado ni msanii anayefanya vizuri sana kwenye muziki hata kushinda tuzo kubwa duniani, Rayvanny anazidi kupasua anga kimataifa zaidi baada ya kushirikishwa kwenye remix ya ngoma ya msanii maarufu duniani kutoka Marekani Jason Derulo ambayo yupo pia French Montana. Wimbo unaitwa “Tiptoe Remix” na hapa tumekuwekea audio yake, isikilize kisha acha comment yako hapa chini pia usisahau kushare na wengine.
JASON DERULO FT RAYVANNY & FRENCH MONTANA - TIPTOE REMIX(OFFICIAL MUSIC AUDIO)
Reviewed by loy
on
February 19, 2018
Rating:
No comments: