NEW VIDEO: RAYVANNY - NATAFUTA KIKI

Msanii anayepewa sifa nyingi kwa utunzi na uimbaji mzuri Bongo fleva hapa bongo RAYVANNY kutoka WCB ya Diamond Platnumz kwa mara nyingine tena kwenye TV zetu, katuletea brand new video ya wimbo wake pendwa unaoitwa "Natafuta Kiki".Ipo hapa ukishaitazama,usiache kutoa neno lako ili RayVanny akipita hapa baadae aone watu wake wanasemaje kwenye comments. 
WATCH THE VIDEO BELOW
NEW VIDEO: RAYVANNY - NATAFUTA KIKI NEW VIDEO: RAYVANNY - NATAFUTA KIKI Reviewed by loy1 on September 04, 2016 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.