Kwa mara nyingine tena kwenye TV zetu kutoka kwa staa wa bongo flavour Malaika ambaye alishawahi kumiliki mdundo wa ‘salesale‘ aliomshirikisha producer Mensen Selekta na sasa kaileta hii video ya ngoma yake pendwa inaitwa ‘Rarua‘. Enjoy
Ipo hapa, ukishaitazama usiache kutoa neno lako ili Malaika akipita hapa baadae aone watu wake wanasemaje kwenye comments.
BOFYA HAPA KUITAZAMA VIDEO!
BOFYA HAPA KUITAZAMA VIDEO!
NEW VIDEO: MALAIKA - RARUA!
Reviewed by loy1
on
September 09, 2016
Rating:
No comments: