NEW VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ FT RAYVANNY - SALOME!


Msanii nguli wa Bongo fleva Africa Mashariki Diamond Platnumz kwa mara nyingine tena kwenye TV zetu, katuletea brand new video ya kitamaduni ya wimbo wake mpya unaoitwa "Salome" aliomshirikisha mkali mwingine toka WCB Rayvannyukishaitazama hapa chini usiache kutoa neno lako ili Diamond na Ray wakipita hapa baadae waone watu wao wanasemaje kwenye comments. 
(The Rolls royce artist from Tanzania East Africa Diamond Platnumz once again on our TVs, he brought us a brand new traditional video of his new hit song called "Salome"  which he featured Rayvanny  from WCB wasafi label. After you watch the video do not hesitate to drop your comments below.)

WATCH THE VIDEO BELOW! 
NEW VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ FT RAYVANNY - SALOME! NEW VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ FT RAYVANNY - SALOME! Reviewed by loy1 on September 19, 2016 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.