Video mpya ya wimbo wa Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria, Yemialade kwa jina ‘Bum Bum’ imetoka, Wimbo huu unapatikana katika album yake ya ‘Black Magic’ iliyotoka rasmi Disemba mwaka 2017 ambapo audio ya wimbo huo unakumbushwa kuwa ilitayarishwa na Producer V-Tek.
Kwa asilimia kubwa ya walioshiriki katika Kazi hii imeletwa kwako chini ya kuvuli cha Effyzzie Music Group huku video ikiwa imeongezwa na Director Sesan.
YEMI ALADE - BUM BUM (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Reviewed by loy
on
March 13, 2018
Rating:
No comments: