Producer na msanii kutoka Nigeria Tekno ambaye pia ameshiriki katika utengenezaji wa kazi nyingi za wasanii kutoka nchini nigeria na nje ya Nigeria.
Mwaka huu Tunategemea kuisikia Album yake mpya ambayo ndani yake itakuwa na vionjo vingi kwani ni kitu ambacho kimepikwa kwa muda mtefu.
Sasa Loyanie site tunakukaribisha kutazama video mpya ya wimbo wake ambao audio yake ilitoka wiki moja iliyopita YUR LUV.

TEKNO - YUR LUV (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Reviewed by loy1
on
March 23, 2018
Rating:
No comments: