ENOCK BELLA - NGOJA KIDOGO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)



Enock Bella wengine humwita “kibesi” au bella msauti kutokana na uzito wa sauti yake, moja ya wasanii wa Bongo Fleva waliounda kundi lilikuwa maarufu na kuvunjika badae “Yamoto band”, sasa ametuletea video mpya ya wimbo wake mwingine unaitwa “Ngoja kidogo”. Tumekuwekea hapa, itazame kisha acha comment yako hapa
ENOCK BELLA - NGOJA KIDOGO (OFFICIAL MUSIC VIDEO) ENOCK BELLA - NGOJA KIDOGO (OFFICIAL MUSIC VIDEO) Reviewed by loy on March 05, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.