Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Damian Soul, ameachia video ya wimbo wake ‘DATA’ uliowashirikisha Switcher Baba na Nikki Wa Pili chini ya mkono wa Prodyuza S2Kizzy.
Video ya wimbo huo umeongozwa na Director Joowzey wa Joh Films.
DAMIAN SOUL FT SWITCHER BABA & NIKKI WA PILI - DATA(OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Reviewed by loy
on
March 01, 2018
Rating:
No comments: