Single Ya Tatu Kutoka Katika Album Ya Kundi La
Muziki Kutoka Nchini Kenya Sauti Sol Album Inayoitwa Afrikan Sauce,Wimbo
Unaitwa Afrikan Star Ikiwa Ni Kolabo Yao Ya Tatu Huku Ya Kwanza Wakiwa Na
Partoranking Iliyofata Wakiwa Na Tiwa Savage Na Sasa Wameshirikiana Na Burna
Boy Wimbo Huo Umekamiliswa Na Supersonic
Africa.
SAUTI SOL - AFRIKAN STAR FEATURING BURNA BOY (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Reviewed by Natty
on
February 14, 2018
Rating:
No comments: