Msanii wa Hip hop Chindoman ametuletea video hii ya wimbo wake mpya unaitwa “Mamaalao” aliyomshirikisha Rayvanny mkali kutoka Wcb. Audio imepikwa studio za surprise music na producer Rashdoni.Video imesimamiwa na Matt Oliveira toka Los Angeles California.
Itazame hapa.
NEW VIDEO: CHINDO MAN FT RAYVANNY- MAMA LAO
Reviewed by loy
on
February 07, 2018
Rating:
No comments: