Wakali Sauti Sol Kutoka Nchini Kenya Mwaka Jana
Mwishoni Waliachia Ngoma Yao Wakiwa Wamemshirikisha Atoranking Kutoka Nchini
Nigeria .
Na Waliweka Wazi Kuwa Mwaka 2018 Utakuwa Mwaka Wa
Mashambulizi Zaidi Na Hii Ndio Wameidhihirisha Kupitia Kolabo Ambayo Wameachia
Wakiwa Na Tiwa Savage Kutoka Nigeria Huku Moja Ya Walioshiriki Kuandika Ngoma
Hiyo Ni Mwanadada Ambaye Pia Anafanya Vyema Kupitia Muziki Wa Dancehall Kutoka
Nchini Kenya Fena Gitu Maarufu Kama Fena Menal.
Tazama Video Hiyo Mpya Tumekusogezea Karibu Zaidi.
SAUTI SOL FEATURING TIWA SAVAGE - GIRL NEXT DOOR
Reviewed by Natty
on
January 10, 2018
Rating:
No comments: