The African Princess “Nandy” ambaye wimbo wake wa “Kivuruge” bado unafanya vizuri akiwa na mkali wa kutamba “Aslay” kwa pamoja wametuletea video hii ya ngoma yao mpya inaitwa “Subalkheri Mpenzi”. Tumekuwekea hapa icheki kisha acha comment yako hapo chini.
NEW VIDEO: NANDY X ASLAY - SUBALKHERI MPENZI
Reviewed by loy
on
January 23, 2018
Rating:
No comments: