Baada ya kutambulishwa rasmi na kusajiliwa ndani ya WCB recording label pale Hyatt regency leo 28/01/2018, Mbosso ametuletea video ya wimbo wake wa kwanza akiwa nje ya Yamoto band na ndani ya WCB inaitwa “Watakubali” . Video imesimamiwa na Director Nikk hapa hapa Dar Es Salaam Tanzania. Tumekuwekea hapa itazame kisha acha comment yako hapa
NEW VIDEO: MBOSSO - WATAKUBALI
Reviewed by loy
on
January 28, 2018
Rating:
No comments: