Akiwa bado anatamba na ngoma yake “Kilio” iliyotoka wiki moja iliyopita ambayo bado inafanya vizuri sana, Mkali kutoka WCB Wasafi Lavalava leo ametuletea video ya wimbo mpya unaoitwa “Utatulia”.
Tumekuwekea hapa utazame kisha toa maoni yako hapa.
NEW VIDEO: LAVALAVA - UTATULIA
Reviewed by loy
on
January 18, 2018
Rating:
No comments: