NEW VIDEO: CHIBWA X TANAH TANCHY – ALONE


Hawa Ni Moja Ya Couple Ambayo Iliamua Kufanya Muziki Pamoja Na Kuanzisha Familia Pamoja,Lakini Si Hivyo Tu Ni Moja Ya Couple Ambayo Haijawahi Kujiingiza Katika Skendo Za Ajabu Ajabu.
Inawezekana Maisha Waliochagua Kuishi Yakawa Ni Moja Ya Sababu Kubwa Ya Kutowaona Mara Kwa Mara Sasa Huu Ni Ujio Mwengine Toka Kwa Wakali Hawa Wa Dancehall.
Wawili Hao Wametoa Wimbo Wao Mpya Uitwao Alone Huku Video Ikiwa Imefanyika Hapa Hapa Tanzania,Ikiwa Imeongozwa Na Director Eddy.


NEW VIDEO: CHIBWA X TANAH TANCHY – ALONE NEW VIDEO: CHIBWA X TANAH TANCHY – ALONE Reviewed by Natty on January 16, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.