Msanii Kutoka Mavins Records Ambaye Pia Amesomea
Taaluma Ya Habari,Kutoka Nchini Nigeria Korede Bello Ambaye Pia Ni Moja Kati Ya
Wasanii Waliofanya Vizuri Na Ngoma Aliyoshirikiana Na Harmonize.
Korede Ameachia Wimbo Wake Mpya Uitwao,Melanin
Popping Sasa Unaweza Kutazama Hapa Na Kutoa Maoni Yako.
KOREDE BELLO - MELANIN POPPING
Reviewed by Natty
on
January 18, 2018
Rating:
No comments: