Ni Majamaa Kutoka Nchini Kenya Rapa Ambaye Anakubalika
Kwa Sasa Khaligraph Jones Ambaye Pia Amewahi Kufanya Kazi Na Rayvanny Kutoka
Wcb Na Kukikiri Kuwa Ni Moja Ya Msanii Anaemkubali Bongo .
Khaligraph Ambaye Anawakilisha Kayole Huko Nchini
Kenya Ameamua Kushirikiana Nan A Mkali Timmy Tdat Ambaye Amekuwa Maaruru Na
Jina La Kasabuni.
Wawili Hao Wameachia Ngoma Yao Ya Pamoja Iitwayo
Kasayole Akiwa Inawakilisha Wao Na Walipotoka.
Tazama Ufurahie Hapa,Unaweza Kutoa Maoni Yako Pia.
KHALIGRAPH JONES X TIMMY TDAT - KASAYOLE (Official Music Video)
Reviewed by Natty
on
January 11, 2018
Rating:
No comments: