Comedian famous East Africa kutoka Kenya Eric Omondi, amefanya remix ya wimbo wa WCB "Zilipendwa" na yeye yake kaiita "Zilitemwa".
No comments: