NEW VIDEO: DULLY SYKES FT HARMONIZE - INDE

Msanii mkongwe wa Bongo fleva hapa bongo Dully Sykes kwa mara nyingine tena kwenye TV zetu, katuletea brand new video ya wimbo wake mpya unaoitwa "Inde" aliomshirikisha mkali toka WCB Harmonizeukishaitazama hapa chini usiache kutoa neno lako ili Dully Sykes na Harmonize wakipita hapa baadae waone watu wao wanasemaje kwenye comments. 
(The legend artist from Tanzania  Dully Sykes once again on our TVs, he brought us a brand new video of his single called "Inde"  which he featured Harmonize  from WCB wasafi label. After you watch the video do not hesitate to drop your comments below.)

WATCH THE VIDEO BELOW!
NEW VIDEO: DULLY SYKES FT HARMONIZE - INDE NEW VIDEO: DULLY SYKES FT HARMONIZE - INDE Reviewed by loy1 on August 13, 2016 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.