NEW VIDEO: JOH MAKINI(Tanzania) FT CHIDINMA(Nigeria) - PERFECT COMBO!

Ni mwanahiphop kutoka Arusha Tanzania Joh Makini kwa mara nyingine tena kwenye TV zetu, katuletea brand new video ya single yake inaitwa Perfect Combo ambayo kamshirikisha mwimbaji maarufu wa Nigeria anaitwa Chidinma, ukishaitazama hapa chini usiache kutoa neno lako ili Joh akipita baadae aone watu wake wanasemaje kwenye comments.
(He is a hiphop artist from Arusha Tanzania Joh Makini once again on our TVs, he brought us a brand new video of his single called Perfect Combo which he featured a famous singer from Nigeria called Chidinma. After you watch the video do not hesitate to drop your comments below.)

WATCH THE VIDEO BELOW!
NEW VIDEO: JOH MAKINI(Tanzania) FT CHIDINMA(Nigeria) - PERFECT COMBO! NEW VIDEO: JOH MAKINI(Tanzania) FT CHIDINMA(Nigeria) - PERFECT COMBO! Reviewed by loy1 on July 14, 2016 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.