Staa wa bongo fleva aliye chini ya WCB na mmiliki wa mdundo wa ‘Aiyola‘ Harmonize, kaachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Diamond Platnumz ambaye ni msanii bora Afrika, Mdundo unaitwa ‘Bado’.
Audio ya wimbo huu imepikwa na kukamilishwa na maprodyuza wakali toka Wasafi Records!
Audio ya wimbo huu imepikwa na kukamilishwa na maprodyuza wakali toka Wasafi Records!
Kuutazama Bonyeza hapa chini mtu wangu….
VIDEO: HARMONIZE FT DIAMOND PLATNUMZ - BADO
Reviewed by loy1
on
March 01, 2016
Rating:
No comments: